M-KOPA IMEPUNGUNGUZA GHARAMA YA MATUMUIZI YA MAFUTA YA TAA

» $75 M Makadirio ya Mapato kutokana na wateja tulionao » Makadirio 130000 ya Kupungua kwa tons za hewa ya ukaa (CO2) kutoka kwa wateja waliopo ukilinganisha na matumizi ya Mafuta ya taa » Masaa 12500000 ya kupata Mwangaza mngávu bila Moshi ndani ya mwezi mmoja

MkopaIII_Aug14_457

Power for Everyone

M-KOPA inapambana kuhakikisha wateja wake wanaondokana na matumizi ya Mafuata ya taa na nishati mbadala hafifu , vifaa vya solar vinapatikana kwa urahisi na ufanisi wake huendelea kuwa bora wakati wote , M-KOPA imelenga kutoa Teknologia bora kwa garama nafuu, kwa kuwapa bidhaa bora za solar kwa siku kwa gharama nafuu Zaidi ya zile wanazotumia kwenye mafuta ya taa , tunawawezesha watumiaji wa huduma zetu kutumia kilichotengenezwa nyumbani , kutumia nishati mbadala , kupata kilichobora , miaka mitatu baada ya kumaliza M-KOPA unaweza kukoka garama na kupeleka fedha katika vipaombele vingine kama lishe kwa familia , elimu na kupata fedha zaidi za kuwekeza au kufungua shughuli nyingine za kiuchumi .